Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYAAA MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA CHANGAMKIA FURSA
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KODI 200,000X4
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
DALADALA 700
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
###
#0785889413🔥🔥