Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(450,000 Γ 6) KIMARA STOP OVER
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= Γ 6
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA BADO KUMALIZIWA TIRIZE NA KABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PRKING KUBWA YA KUTOSHA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI HII NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 450,000/= Γ 6
ποΈ APARTMENT HII NZURI YA FAMILIA IPO KIMARA STOP OVER
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1. NA BARABARA NIA RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300