Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAAA MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA
CHUMBA MASTER NA JIKO
HAKUNA SEBULE
MAJI MITA YAKO
UMEME LUKU YAKO
KODI 150,000X6
IPO KIMARA STOP OVER
DAKIKA 5 KWA MGUU
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA