Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KIMBIA ASUBUH NA MAPEMA
#CHUMBA MASTER SEBLE120×4
------------------------------
📌Mahali: KIMARA SUKA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI (Dsm) 🇹🇿
Umbali: km2.5
Pikipiki 1000
Bajaji 700
_________________________
MUUNDO ÷
✔️Chumba Master
✔️Mazingira Mazuri .
✔️Feni Ya Juu
__________
HUDUMA ÷
✔️Maji (yapo Ndani dawasa)
📌 Ndani Ya Fensi &Parking ipo Kubwa
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 120000/=x 4
=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 4+ Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh 15,000/=
CALL 0659244543