Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 10 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii haipo kwenye fensi ila ina Mazingira mazuri sana usalama upo hatujawai kupata kesi ya kuibiwa
KODI YA PANGO
________________
kodi kwa mwezi ni laki mbili na ishilini tuu
(220,000×6
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347