Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🔰 Inapangishwa KIMARA BARUTI
📍 Barabara ni ya Lami tupu hadi kwenye nyumba
📍 Kodi 250,000/= ×6
__
_______
• Jiko Kubwa
• Sebule Kubwa
• Chumba Master Kikubwa Sana
• Choo Wageni ndani (yani nyumba inavyoo 2 ndani 'cha master na cha wageni'
* Inajitegemea UMEME
* Ndani ya Fensi zipo 3 tu
* Parking kubwa
* Maji Ndan
#Umbali wa dakika 10 kwa miguu
#Note:- #Inakuwa_wazi_tarehe_30/10/2024, kuona na kulipia ruksa (Iwahi huwa haikai sana)
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 250,000/=
#Kupelekwa Kuona ni 15,000/=
№:- 0753172516