Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


SASA IPO WAZI NDUGU ZANGU. APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA NA HII NDIYO IPO DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
TILES
GYPSUM
SLIDE WINDOW
MAZINGIRA TULIVU KABISA
NDANI YA FENCE
PAVING BLOCK
PARKING SPACE KUBWA SANA
KODI 350,000/=×6
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087