Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5
SIFA YA NYUMBA
CHUMBA KIKUBWA MASTER
Nyumba ipo Kwenye fence lakini hailazi gari
USAFIRI BAJAJI ZIPO SH 700
BODABODA SH 1000
UKISHUKA UNAPIGA MLANGO TEKE
HAPA UMEME MAWILI NA MAJI WANNE
💰BEI SHILLING 120,000 X 6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 15,000
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
CALL #0625606710