Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
APARTMENT NZURI KABISA INAPANGISHWA
#LOCATION: KIMARA TEMBONI
#KODI YAKE 170k MALIPO MIEZI 4
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
# SEBURE KUBWA SANA
# PUBLIC TOILET / INSIDE
#UMEME METER YAKE
#MAJI DAWASA METER WANASHARE W3 NA YANAFLOW NDANI*
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
#UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMITA
USAFIRI BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
NYUMBA HII HAIPO KWENYE FENCE LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA NA MLINZI YUPO TENA KAMPUNI ANALIPWA NA MWENYE NYUMBA
0716 776247
0754 221168