Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA (100K X6)
LOCATION
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI UKISHUKA DK 10 KWA MIGUU
KODI LAKI MOJA MALIPO MIEZI SITA IKIPUNGUA USIJE OGOPA NJOO
SIFA ZAKE
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
TYRIES GYPSUM MADIRISHA MAZURI YA WAVU YENYE HEWA SAFI NDANI YA FENCE PARKING HAKUNA
#UMEME SUBMETER WAWILI
#MAJI DAWASA YAPO NJE
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA ELFU KUMI NA TANO MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347