Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 15
KUTOKA STEND KIMARA SUKA
PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI
SIFA YA NYUMBA
_________________
hii ni nyumba ya vyumba viwilli vya kulala haina master bedroom ina sebule kubwa sana na jiko ndani
Inajitegemea umeme maji yapo ndani yanatoka chooni
Piya hii nyumba ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
________________
Kodi kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu/=
(250,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka
CALL
0712656027