Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA YA GOROFANI NDIO INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 24/06/2023
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#AIRCONDITION (AC)
#GARDEN
#HEATER YA MAJI MOTO
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA YA JUU GOROFANI NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 550K X 6
ILIPWE LAKI 5.5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHALI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 5.5 INALIPWA SAMBAMBA NA KODI YA MIEZI 6
✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
📌📌KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA KODI YA MWEZI MMOJA YA UDALALI
*ANGALIZO:INAKUW WAZI TAREHE 24.6.2024*
Piga simu 0685 704 791 Whatsapp 0659 262 931