Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐ฅ Inapangishwa
#KIMARA TEMBONI
โ
Ziko Mbili za Bei Tofauti hapa
1. 200,000/= *6 (kodi miezi 6)
2. 250,000/= *3 (kodi miezi 3)
๐ Nyumba ya Jirani na Barabara hii
______
__
โข Jiko
โข Sebule
โข Chumba cha Kulala
โข Choo Ndani kwa Ndani (Hata mgeni wako anatumia bila kuingia chumbani kwako)
* UMEME na MAJI inajitegemea
* Maji Ndani
* Fensi
* Parking
#Umbali wa dk 6 tu kwa miguu
_____
#Malipo ya dalali Nasoni ni 250,000/=
#Service Charge 15,000/=
โ: 0753-172-516