Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


KODI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
APARTMENT  NZUR  SANA INAPANGISHWA
LOCATION  KIMARA MWISHO
=============================================
UMBALI WA KILO META (1,7) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS 
USAFIRI WA UHAKIKA 
BAJAJI 700/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK 5 UPO NYUMBAN 
INA VYUMBA (2) VYA KULALA SEBULE  KUBWA
 PUBLIC TOILET
YA NDANI  TILES GYPSUM SLAIDING WINDOS
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWSCO YANAFLOW CHOONI
NDANI YA FENSI 
PAKING KUBWAA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000/=
________________________________________________________
NA BILA KUSAHAU PESA YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================




















