Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA MASTER, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA, INAJITEGEMEA LUKU NA MAJI
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 100,000/= KWA MWEZI
_____________________________
NB:IVI VYUMBA NI VYA WASTANI, SIO VIKUBWA SANA
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
*WSP:0712656027
*CALL:0712656027
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________