Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
WAHI MTEJA BEI KITONGA NYUMBA NZURI #BEI 150X6
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA. MASTER
#JIKO ZURI KUBWA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA WAVU MAKUBWA NYUMBA HAINA FENSI ILA KUHUSU USALAMA UPO WA KUTOSHA PARKING SAFI KABISA MWIZI UJE NAE MWENYEWE HAPA ULINZI WA KUTOSHA
#LUKU INAJITEGEMEA MAJI INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD BODA BUKU MPAKA HAPO
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
0715949085
0782838336