Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F997ab97f-ca7c-4d4f-9009-8daca1c29260.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F997ab97f-ca7c-4d4f-9009-8daca1c29260.jpg&w=256&q=75)
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/03/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
BEI NI 300,000/=X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
‼️HAKUNA MASTER BEDROOM HAPA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 300,000/= X 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/03/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
0710614924
0688653940