Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(350,000X6)KIMARA KOROGWE DAKIKA TATU(3) KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HAYA WALE MNAOPENDA KUKAA KARIBU NA BARABARA HII INAKUFAA DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI (350)
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET YA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#FULL A/C (AIR ÇONDITION)
#ELETRIC FENCE
#HITER MAJI MOTO
#MLINZI WA KAMPUNI(USALAMA KAMA LUGALO)
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI ULIPI IMEJUMLISHWA KWENYE KODI YAKO
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI ELFU15
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453