Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 250000 x 6 ) CHUMBA MASTER SEBLE JIKO APARTMENT MPYA MPYA ZINA PANGISHWA ZIPO (6) KWENYE COMPOUND MOJA
UMBALI WA KILOMETA ( 1,5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKAS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJI 1000/= DALADALA
500/= UKISHUKA UNATEMBEA DAK 3
INA TILES GPSUM MADILISHA ALUMINIUM
UMEME NA MAJI UNA JITEGEMEA MAJI YANA FLOW CHOONI NA JIKONI
NYUMBA INA MALIZIWA KUPINGWA RANGI YA NJE NA NDANI KUONA NAKULIPIA RUKSA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA 15000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA WA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA ASANTE
What saapp number 0689-547258