Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15
KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
hii nyumba ina vyumba viwilli vya kulala vyote master bedrooms sebule kubwa na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
Kodi kwa mwezi ni laki tatu tatu nanusu
KODI NI 350,000X6
SIMU 0659336751 WSP 0786085637