Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Master ipo kimara mwisho (80000x6) aiko ndani ya fensi usalama upo wa kutosha kama ikulu
Umbali KILOMETA 2;5 kutoka kimara mwisho na usafir uwa kika bajaji 700 pikipiki 1000 na ukishuka una piga teke mlango
Ina tiles gpysum madilisha ya kioo
Umeme subumita
Maji yana flow choo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 150000
Bila kusahau malipo ya mwezi mmoja kwa dalali pindi ulipapo nyumba asante
DALALI KISMATI UBUNGO ๐คซ๐ฅ
0772850032