Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALIMNOO ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK14 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU NA BARABARA SAFI YA ZEGE UKANYAGI TOPE MBAKA UNAINGIA NDANI KWAKO. INAKUWA WAZI MWEZI WA 6 .2025
------
Chumba master kikubwa
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet njee
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Electronic fence
Geti la limoti
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3 5
--------
Contact
📞#0676_218580(WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏