Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
UKISIKIA KUISHI KWA MALENGO NDO HUKU. NYUMBA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #130k
===
Vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet
===
Kodi 130,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 3 Usafiri bajaji na Bodaboda
===
Huduma za maji na umeme UNAJITEGEMEA
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
===
0679447338
0753454167