Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KODI 250,000X6
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
#0625606710🏠wahiii



















