Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
WAHI MAPEMA KABISA HII SI YA KUKOSA BEI MSELELEKO
LOCATION IPO KIMARA TEMBONI
KODI NI 150,000X3
INA PANGISHWA
SIFA ZA NYUMBA
INA VYUMBA V2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
CHOO CHA FAMILIA CHA NDANI
JIKO KUBWA LA KISASA
SEBULE KUBWA SANA
NYUMBA HII HAINA FENSI ILA USALAMA UPO WAKUTOSHA
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU UMEME NA MAJI DAWASCO YAPO
YANA FLOW NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1,5๐
USAFIRI BAJAJI 700 BODABODA 1000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 15000๐
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM CHAPU UPATE KITU POA KABISA
0679447338
0753454167