Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HAPA KUNA APARTMENT ZA AINA MBILI TOFAUTI
SOMA KWA MAKINI
LOCATION: KIMARA MWISHO
KUNA CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
KODI 250,000X4/5/6
UMEME LUKU YAKO
MAJI YAKO
PIA KUNA CHUMBA MASTER NA SEBULE
NA VIKUBWA SANA
KODI 180,000X4/5/6
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
MPAKA GETINI
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#025606710