Nyumba inapangishwa Kinondoni, Dar Es Salaam
š£Inapangishwa KINONDONI ADA ESTATE
š Zipo 2 za Aina na Bei tofauti
__
________
ā
AINA YA KWANZA
ā¢ Jiko (Open Kitchen)
ā¢ Chumba Master
#Kodi 270,000/= *6
_________________________
ā
AINA YA PILI
ā¢ Jiko
ā¢ Sebule
ā¢ Chumba Master
#Kodi 370,000/= *6
_________________________
ā
SIFA ZA ZOTE
* MAJI ndani
* Ndani ya Fensi
* Hazina Parking, ila gari Inafika hadi Kwenye Nyumba
#Umbali wa Dakika 1 tu hadi Lami
__________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Hela ya mwezi mmoja
#Kupelekwa kuona ni Tsh 20,000/=
ā:- 0753172516