Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KUPANGA KINYEREZI
Leo nakuletea Chumba na sebule cha kupanga nzuri kabisa bosi wangu
Nyumba kali sana hakika ni kali karibu sana sana
SIFA ZA APARTMENT
👉Chumba 1
👉Sebule+ choo
👉maji na umeme unajitegemea
👉Karibu na Barbara
👉mweny nyumba hana njaa
✅ Price : 200,000/ mwezi Miezi 6
📍 LOCATION: Kinyerezi
📞 0629 113 743 ama whatsapp 0629 113 743
Agent fee : mwezi mmoja
Kukupeleka site : 10,000
Karibu sana kazi ya uhakika
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#nyumbakinyerezi
#kinyerezi
#panganyumbakinyerezi
#panganyumbatabakinyerezi
#nyumbazanguvu