Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


STAND ALONE HOUSE FOR RENT ###300K
--------------------------
NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI KUBWA INAPANGISHWA. 
NYUMBA  HII IPO KINYEREZI  NJIA IENDAYO AIR PORT KITUO "DARAJANI MWEMBENI " UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK  5 HADI KWENYE NYUMBA. 
SIFA ZA NYUMBA =
CHUMBA KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA 
JIKO LENYE KABATI 
PUBLIC TOILET  YA NJE 
TAILS 
GYPSUM 
MADIRISHA ALUMINIUM 
UMEME LUKU INAJITEGEMEA 
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI MITA INAJITEGEMEA. 
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE KUBWA SANA  NA PARKING SPACE KUBWA. 
--------
KODI NI LAKI  300,000 /=
KWA MWEZI 
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
KUONA NYUMBA NI ELFU 20,000 /=
----------
Well come ..
 " You un all "
CONT =
0652 508128 
0753 989554 
=====




















