Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA KINYEREZI MAKOFIA
___
BEI 350.000X6
___
VYUMBA 2 VYA KULALA
VYOTE MASTER
SEBULE
JIKO
MAJI UMEME UNAJITEGEMEA
PAKING KUBWA
NYUMBA ZIPO 2 NDANI YAFENCE
PAKING PEVING BLOCK ZINAWEKWA
NYUMBA ZIPO DK 2 TOKA RAMI
SERVICE CHARGE 20000
MWEZI 1 KUNA MALIPO YA DALALI BAADA YA KULIPIA.
Mawasiliano zaidi gusa sehemu ya Contact juu paleπ.