Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba ya kujitegemea inapangishwa Tsh 800,000/=
Kinyerezi Zimbili,Dar es salaam Tanzania
_______
●Nyumba ina vyumba 3vya kulala/kimojawapo kina choo na bafu/sebure/jiko/choo na bafu vya familia/sehemu ya kulia chakula/stoo/AC/Umeme/maji-dawasa nk,
_______
■Mpangaji ; Atalipia Tsh 30,000/=
Kupelekwa kuoneshwa nyumba +Kodi ya mwezi mmoja,kwa dalali ulipiapo nyumba.
______
■Napatikana ; Kinyerezi Dar es salaam Tanzania
■piga simu/WhatsApp no +255(0)689508094