Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KUPANGA KINYEREZI
Leo nakuletea Apartment ya kupanga nzuri kabisa bosi wangu
Nyumba kali sana hakika ni kali karibu sana sana
SIFA ZA APARTMENT
👉Vyumba 4,3masta
👉Sebule
👉public toilet
👉Jiko , store, control room ya umeme na generator
👉AC ndani ya bedroom 3 na sebule
👉maji na umeme unajitegemea
👉Karibu na barabara kubwa ya lami kama dakika 5
👉parking ipo ya kutosha
👉mweny nyumba hana njaa
👉CCTV camera 📷
👉Electric fance
👉Study room
👉 Gari linafika mpaka ndani
Nb: Apartment ni mpya azijawahi kukaliwa na mtu ziko 2 wahi sasa
📍KINYEREZI
✅ Price : 800,000/ mwezi Miezi 6
Agent fee : mwezi mmoja
Kukupeleka site : 10,000
Mawasiliano: 0629 113743 WhatsApp 0629 113 743 sms 0629 113 743
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#nyumbakinyerezi
#nyumbakubwa
#nyumbabora
#panganasi
#nyumbampya