Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
ISHALIPIWA ✅️
Nyumba inapangishwa Kinyerezi Shell Ya Esther.
- Master
- Sebule
- Jiko
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Parking
- Fence
- Wapangaji wanne
Kodi 100,000/= miezi kwanzia mitatu.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.