Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Zabikah.
- Master
- Jiko
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Water reserve tank
- Paving
- Parking
- Fence
- Wapangaji wanne
Kodi 150,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.