Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Mahakamani.
- Master
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Parking
- Fence
- Dakika 0 kutoka kituoni
Kodi 250,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.