Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
#APARTMENTS MPYA
MALIPO MIEZI 6 TU!
--------------------------------
📌Mahali: KINYEREZI -MWANZO MGUMU(DSM)🇹🇿
UNAWEZA KUPITIA MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA
Umbali:1.3.Km BAJAJI 700 kutoka KINYEREZI mwisho
Au Mwanzo.mgumu bajaji 500,boda 1000
Pia boda 1500-2000 kutoka KINYEREZI mwisho stendi
__________________________
MUUNDO
✔️Chumba Master
✔️Sebule Kubwa
✔️Choo Cha wageni nje(Public toilet 🚽)
✔️ Jiko
✔️Mazingira Mazuri .
✔️Feni Ya Juu
✔️Paving block
_______________________________________
HUDUMA
✔️Maji (yapo dawasa)#Bill
Na kisima pia, motor ipo
✔️Umeme _LUKU YAKO
📌 Ndani Ya Fensi &Parking ipo
N.B IPO WAZI NI YA KUHAMIA TU, ya chiniiii
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 120,000\/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6+ mwezi 1 wa dalali
_________________________
Contact 📲
0713661530_0783661530