Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Shell Ya Esther.
- Master
- Sebule
- Jiko
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Water reserve tank
- No parking
- Wapangaji watatu
Kodi 120,000/= MIEZI MINNE au 100,000/= MIEZI SITA.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.