Nyumba inapangishwa Kipengele, Njombe


Master, sebule na jiko mpya kabisa.
Ipo ndani ya fence.
Kuna maji 24/7.
Full A/C.
Water heater.
Dakika 0 kutoka lami.
Nyumba haina kipengele labda kipengele ulete wewe.
Kodi 350,000/= MIEZI SITA!!!
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.