Nyumba inapangishwa Kisima, Kilimanjaro
SOLD OUT XXX! Nyumba inapangishwa bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 4 nakuendelea. Nyumba ina rooms 3 vyakulala, sitting room, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet, fensi ya parking ipo, paving blocks chini, na kisima cha maji kipo ndani. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 0719250426.