Nyumba inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam


NYUMBA
INAPANGISHWA
ZIPO MBILI KWENYE COMPOUND
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- KUNDUCHI BEACH
______________
KODI USD 700 KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
_____________
KUBWA YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba vitatu vikubwa vya kulala #MASTA3 #Sebule kubwa #dinning #Jiko zuri lenye #makabati #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks #Garden
Contact call 0712531657
#0789731695 whatsupp