Nyumba inapangishwa Mabibo, Dar Es Salaam


Chumba master Mpyaa Mpyaa zinapangishwa Mabibo Nit
Hizi Master Nimpya kabisa ukiingia unaanza wewe mwenyewe
Kodi 180k miezi 6
Nyumba Ipo Ndani ya fence safii π₯π₯π₯
Full reserve tank
Umeme Kwa sasa ni mtatumia submitter ila ataweka kila mtu meter yake ya umeme
Kodi 180 Miezi 6
Service charge 20k
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347