Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


Stand alone Inapangishwa:
Unajitegemea peke yako
Location :: Madale mivumoni
Bei yake :: 500,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba vinne (kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
NB :KUNA ENEO KUBWA SANA LINAFAA SANA KWA MTU ANAEPENDA KUFUGA KUKU😛🥰
Call/Whatsapp;
0783558470