Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA;
#STAND_ALONE_HOUSE
Kodi :: Tzs 500,000 kwa Mwezi
Malipo :: Miezi 6
Location :: MADALE KISAUKE
.
📍Vyumba Vinne( Kimoja ni Masta)
📍Sebule Kubwa & Dinning
📍Public Toilet
📍Car Parking
📍Parking Space kubwa
0783558470