Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
💧Location :: MADALE KWA KAWAWA
💧Bei :: 750,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Chumba kimoja Masta)
📍Sebule 
📍Choo cha Public 
📍Jiko Lenye Makabati 
📍Feni 
📍Fensi 
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0783558470
Call /Whatsapp



















