Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


🌟🏗️ KIWANJA CHA KONA PLOT KINAUZWA – FURSA YA UWEKEZAJI & MAKAZI 🏗️🌟
📍 Mahali: Madale Mivumoni – Umoja Road, Block 6
📏 Ukubwa: 1,600 SQM (kona plot – nafasi kubwa sana)
📑 Umiliki: Hati miliki safi
🚗 Umbali: Mita 400 kutoka barabara kuu ya Mivumoni (ipo kwenye hatua za kuwekwa lami)
💰 Bei: Milioni 200 (maongezi yapo 🤝)
---
✅ Faida kuu:
🏢 Fursa nzuri ya kujenga apartments za kupangisha au kuuza
🏡 Panafaa sana kwa nyumba yako ya ndoto zako
📈 Eneo linalokua kwa kasi, lenye mahitaji makubwa ya makazi
🚪 Kona plot 👉 nafasi ya usanifu mzuri wa majengo na parking 🅿️
🌳 Mtaa tulivu, salama na wa kisasa
📞 Wasiliana nasi leo:
#0758998074👈
#0689138795whatsapp