Nyumba inapangishwa Magengeni, Mtwara


Chumba master mpyaa inapangishwa laki 1 Kwa mwezi malipo niya miezi 6 au chini ya miezi 6
Ipo boko MAGENGENI
Ni dk 3 kutoka lami kuu ya bagamoyo road umefika kwenye nyumba ukiwa kwenye nyumba unaona lami kuu ya bagamoyo road
Umeme na maji vyote unajigemea
Ni pamoja na malipo ya dalali ya mwezi mmoja
Kuoneshwa ni elfu 20,000
#Cal
#0717671240 au what's up 👍