Nyumba inapangishwa Magomeni, Dar Es Salaam


FLOOR NZIMA YA VYUMBA 4 MASTER BEDROOM 2
INAUZWA
IPO MAGOMENI MAPIPA MTAA MZURI MTULIVU WA MBURAHATI
INA HATI YAKE
NI FLOOR YA 5
INA BALCON KUBWA IMEZUNGUKA YOYE NA GRIL
MPANGAJI ALIOPO ANALIPA ML 1 KWA MWEZI
HAINA LIFT
<<<<<<<
0714958314
0759502510
0689703451
PAKING CHINI NA MLINZI YUPO .
ANAUZA USD 85,000 TOP TOP KWAKE ANATAKA USD 80,000.
UKITOKEA MJINI KUSHOTO KWAKO MTAA WA NYUMA YA BUTIAMA HOTEL
NYUMBA KAMA YA 6 TOKA KITUO CHA MWENDO KASI.
DALALIMSANGIMAGOMEN