Nyumba inapangishwa Magomeni, Dar Es Salaam


Nyumba hii inatakiwa pesa chap chap ameshuka kutoka 300 amenipigia cm asubuhi anataka ml 270 asiguswe mteja alipe Dalali na kodi
Nyumba ipo mtaa wa Tambaza magomeni mapipa nyuma ya msikiti mkubwa wa kichangani
Ukitokea mjini ni ya 6 kutoka kituo cha mwendokasi mkono wa kushoto ukitokea mjini
Mmiliki ni mmoja na ina ofa ya miaka 99
Nyumba ina patishen 3 yote ina wapangaji
Ina muingizia ml 1.2 kwa mwenzi kwa nyumba yote
Anataka pesa chap chap.
Karibu tumalize kazi.
DALALMSANGIMAGOMEN
SIMU & wahtassp
0714958314 0759502510
Dalalmsangimagomen