Nyumba inapangishwa Magomeni, Morogoro


NYUMBA MPYA ๐ฅ๐ฅ INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
๐ฅ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
#JIKO KUBWA LA KISASA
#AIRCONDITION VYUMBA VYOTE
#PUBLIC TOILET
#FENSI KUBWA YA KUPAKI MAGARI ZAIDI YA MATANO
#INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI
#GARDEN
#PAVING ZINAWEKWA
#NYUMBA HII INA SERVANT CORTER YA CHUMBA KIMOJA NA JIKO
๐ NYUMBA HII IPO KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
BEI NI 500K X 4 ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4 NA KUENDELEA
โNJIA YA GARI NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA/PIA UNAWEZA KUPITIA NJIA YA MBEZI MWISHO KUELEKEA MALAMBA MAWILI NAYO NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA CHAGUO NI LAKO NDUGU MTEJAโ
_ SERVICE CHARGE NI ELFU 15 TU
FIKA OFISINI KWETU MAGOMENI USALAMA OPPOSITE NA WILAYANI AU TTCL TUKUHUDUMIE TUKO WAZI KILA SIKU ZA KAZI NA WEEKEND PIA
TUPIGIE - 0767161626/0672793666
(DALALI WILLY DAR NZIMA)