Nyumba inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


Master bedroom, Sebule na Jiko 500kš
Specifications:-
ā¢ Nyumba ipo Maeneo ya Makongo Mwishoš
ā¢ Chumba Kimoja Ni Master
ā¢ Jiko Lake Zuri Kabisa
ā¢ Fence Na Parking
ā¢ Nyumba ipo karibu na Main Road (Nyumba Lami)
Payment Conditions:-
ā¢ Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 500kā
ā¢ Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Minne (6)
Service Fee:-
ā¢ Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
ā¢ Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba
ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
ā¢ 0718000690 Normal/Whatsappš²